Wednesday, August 21

Msanii wa Injili ashauri wanaoimba wakiwa utupu wapatiwe semina

0 Katibu Mkuu  wa Tanzania Gospel, Foundation, Stella Joel amesema kwamba suala ambalo lilijitokeza hivi karibuni baina ya msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnamz kurumbana na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza ni vyema  suala hilo likamalizwa kwa kukaa meza ya mazungumzo.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.