Saturday, August 17

MO Dewji aahidi kuongeza idadi ya wanafunzi wanaopata ufadhili wa taasisi yake

0



Mwanzilishi wa Taasisi ya Mo Dewji, Mohammed Dewji akikabidhi zawadi kwa baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu waliopata ufadhili kutoka katika taasisi hiyo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kupitia mpango wa Mo Scholars.

Taasisi ya Mo Dewji imetangaza orodha ya wanafunzi 22 wa elimu ya juu waliopata ufadhili kutoka katika taasisi hiyo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kupitia mpango wa Mo Scholars



Read More

Share.

About Author

Comments are closed.