Sunday, August 25

Mkutano wa SADC umefanyika nhcini Tanzania

0Mkutano wa Baraza la mawaziri wa nchi wanachama wa jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika Sadc umeketi leo jijini Dar es salaam ambapo viongozi hao wanakutana kujadili utekekelezwaji maazimio ya Mkutano Mkuu wa mwaka jana sambamba na muelekeo wa mwaka ujao.

Share.

About Author

Leave A Reply