Tuesday, August 20

Mhubiri Billy Graham aenziwa na Bunge la Marekani

0
Alihisi ameumizwa na siasa ambazo zilimsaidia kutambua maisha yake—na hivyo basi kukaa mbali na siasa hizo. Lakini kifo chake, Mhubiri maarufu Billy Graham Jumatano kimepewa heshima ambayo hutolewa kwa nadra sana kutoka kwa viongozi wa kisiasa wa ngazi ya juu akiwa eneo la Bunge la Marekani lijulikanalo kama Capitol Rotunda.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.