Wednesday, August 21

Madktari wa kujitolea waomba msaada kwa serikali ya Kenya

0
Wahudumu wa afya wanaojitolea bila malipo, katika shughuli za kuhudumia wagonjwa vijijini mara nyingi hawatambuliki licha ya kazi kubwa wanayofanya, katika kusaidia hasa kina mama wakati wakujifungua na katika utoaji huduma kwenye zahanati.

Share.

About Author

Leave A Reply