Friday, July 19

LIVE: Man United, Liverpool, Chelsea, Man City mwendo wa kijeshi tu

0


Viwanja 7 vya England vitawaka moto jioni na usiku ewa leo Jumapili  wakati wa mechi za EPL ambapo Manchester United itakuwa nyumbani ikiikaribisha Crystal Palace.

Zifuatazo ni mechi zitakazopigwa saa 12: jioni hii;

Brighton & Hove Albion vs Leicester City

Manchester United vsCrystal Palace

West Ham United-Manchester City

Pia Chelsea itakuwa na kibarua kigumu kwenye dimba la Wembley ambapo watakwaana na Tottonham.

Kabla ya mechi za leo jioni, Man City inaongoza kileleni ikiwa na alama 32 ikifuatiwa na Liverpool yenye alama 30 Chelsea imekaa nafasi ya tatu ikiwa na alama 28 huku Spurs ikijiimarisha nafasi ya nne na alama zake 27.

Share.

About Author

Leave A Reply