Friday, August 23

JKT Queens wapewe tu ndoo yao

0JKT ndio timu pekee ambayo haijapoteza wala kutoka droo katika ligi ya msimu huu na inaziburuza timu zote 11 zinazoshiriki ligi hiyo iliyo msimu wa tatu tangu kuasisiwa kwake enzi za utawala wa Jamal Malinzi akiwa kama Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Share.

About Author

Leave A Reply