Saturday, August 17

Hawawekwi benchi kizembe PALE Man City

0MANCHESTER, ENGLAND. PEP Guardiola ametikiswa na kutema taji moja kutokana na kutupwa nje ya michuano ya Kombe la FA kwa kupigwa 1-0 na Wigan Athletic Jumatatu iliyopita. Kipigo hicho kinapunguza idadi ya mataji iliyokuwa ikifukuzia Manchester City kwa msimu huu na sasa kubaki kwenye michuano mitatu tu, Ligi Kuu England, Ligi ya Mabingwa Ulaya na Kombe la Ligi na watacheza fainali na Arsenal.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.