Sunday, August 25

Hali bado sio shwari Hong Kong

0Shughuli za usafiri zimerejea katika hali ya kawaida katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hong Kong, baada ya maafisa wa kutuliza ghasia kukabiliana na waandamanaji wanaotaka mabadiliko ya kidemokrasia ambao walitatiza shughuli katika uwanja huo kwa siku mbili mfululizo.

Share.

About Author

Leave A Reply