Wednesday, August 21

Duniani Leo May 24, 2019.

0
Waziri Mkuu wa Uingereza,Theresa May amejiuzuru baada ya kushindwa kuwashawishi wabunge kuunga mkono juhudi zake za makubaliano ya Brexit. Na Mvutano kati ya rais Donald Trump na Wademokrat umeendelea wiki hii kwa matukio kadha yanayoashiria kuwa hakuna dalili ya pande hizo kuelewana.

Share.

About Author

Leave A Reply