Saturday, August 24

Duniani Leo May 20, 2019.

0
Wabunge wa Democratic wanasema utawala wa Trump kukataa kutoa taarifa za ziada na ushahidi kuhusiana na ripoti ya mwendesha mashtaka maalum Robert Mueller kumeingiza Marekani katika mzozo wa kikatiba. Na wananchi wa Malawi kesho wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge.

Share.

About Author

Leave A Reply