Sunday, August 18

DCC LUSHOTO YASITISHA MPANGO WA UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA BUMBULI

0Na Oscar Assenga, Lushoto

Kamati ya Ushauri ya
Wilaya ya
Lushoto (DCC)  imeamua kusitisha mpango wa ujenzi wa jengo la Halmashauri
ya Bumbuli lilokuwa lijengwe kwenye eneo jipya la Kwehangala hadi hapo suluhu
ya mgogoro baina ya viongozi wa halmashauri hiyo
itakapopatikana. 

Mwenyekiti wa Kikao
hicho ambaye ni
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto January Lugangika (Pichani Juu)Read More

Share.

About Author

Comments are closed.