Sunday, August 25

ATUMIA MIEZI SABA KUSAFIRI KWA PIKIPIKI KUTOKA OMAN HADI TANZANIA

0 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet
Hasunga akiteta jambo na Maher Al Barwani kutoka nchi ya Oman mwenye asili ya Tanzania ambaye amesafiri
kwa muda wa miezi saba kupitia mataifa mbalimbali hadi kufika Tanzania kwa
pikipiki kwa lengo la kuimarisha uhusiano uliopo baina ya nchi hizo mbili
pamoja na kutangaza utalii wa Tanzania nchini humo, alipotembelea ofisi za
Wizara hiyo mjiniRead More

Share.

About Author

Comments are closed.