Monday, August 19

TGNP MTANDAO YAIBUKA NA MBINU MPYA YA UWASILISHAJI

0


Wanaharakati kutoka kata mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa katika makundi kuweza kujadili changamoto mbalimbali zilizopo nchini na namna ya kuzitafutia ufumbuzi kupitia bajeti ya mwaka 2018/19.

Baadhi ya wanaharakati wakiwa katika kundi wakijadili jambo fulani.

Wanaharakati kutoka kata mbalimbali wakijadiliana kuhusu bajeti ya mwaka 2018/2019 itakavyoweza kutatua changamoto zao.

Meza kuu ikipokea maswali kutoka kwa wananchi mbalimbali waliohudhuria kongamano hilo lililofanyika mapema jana Makao Makuu ya Mtandao wa Jinsia (TGNP).

Mwananchi kutoka kata ya mabibo Anna Sangai akiomba ufafanuzi juu ya swala la kukatika kwa umeme pindi mvua zinaponyesha katika kata nyingi za jiji la Dar es salaam.
Mh. Altho Mwangoa akitoa ufafanuzi wa jambo fulani mbele ya wananchi waliohuduria semina hiyo mapema jana makao makuu ya TGNP Mtandao jijini Dar es salaam.

Mh. Jackson Malangalila akijibu moja ya swali alililoulizwa na wananchi akiwa kama muwakilishi wa serikali na kutoa ufafanuzi juu ya mambo kadhaa ambayo wananchi wanaona hayapo sawa na kuamua kuwahoji viongozi wao.

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao Lilian Liundi akitoa duku duku lake katika mkutano huo, akiwa ameshiriki kama mwananchi akiiwakilisha kata yake anayotoka.

Mtandao wa jinsia Tanzania TGNP kufuatia mfurulizo wa semina zake za kila jumaa tano (GDSS) wamebuni mbinu mpya itakayowawezesha kufikisha ujumbe kwa urahisi kwa serikali na wananchi wake.

Mbinu hiyo iliyobuniwa na shirika hilo ni ya kusimamisha baadhi ya wafanyakazi wake kuwa kama viongozi wa serikali huku wakijibu maswali na kutoa ufafanuzi kwa wananchi kuhusiana na changamoto mbalimbali za kimaendeleo zinazoikabili nchi kwa sasa.

katika semina hiyo iliyofanyika mapema wiki hii siku ya jumaa tano ya tarehe 29/03/2018 iliyoongozwa na mada isemayo mpango wa taifa wa maendeleo ya budget 2018/2019, Tanzania mpya ya ndoto yangu nitatoka?Read More

Share.

About Author

Comments are closed.