Friday, July 19

Sikiliza wimbo mpya wa Dudu Baya Ft. Rayvanny- Konki

0


Sikiliza wimbo mpya wa Dudu Baya Ft. Rayvanny- Konki | | SWAHILI TIMES

Msemo wa Konki Masta umetawala sana mitandao ya kijamii na hata baadhi ya vyombo vingine vya habari. Lakini wakati msemo huo unaanza, hakuna aliyedhani ungeshika kasi kiasi hicho.

Msemo huo ulinazishwa na mwanamuziki Dudu Baya akijiita yeye ni Konki Masta, Oil Chafu, Mamba. Baada ya kushika kasi, mwanamuziki huyo ameona asiuache msemo huo upotee bila kuwa na faida kwake, akaamua kuutengenezea wimbo.

Usikilize hapa chini wimbo mpya wa Dudu Baya aliomshirikisha Rayvanny unaokwenda kwa jina la Konki.

Comments

error: Content is protected !!Share.

About Author

Leave A Reply