Saturday, July 20

Maulid Kitenge na ubashiri wa Pogba na Man United ndani ya Turin

0


Maulid Kitenge na ubashiri wa Pogba na Man United ndani ya Turin | | SWAHILI TIMES

Paul Pogba anarejea Turin Italia lakini safari hii akiwa na Manchester United. Hii ni katika mechi ya marudiano ya UEFA kati ya Manchester United na Juventus. Maulid Kitenge anazungumzia mtanange huo na namna ambavyo unaweza kubashiri na kushinda kutoka Biko Sports.

“Kubashiri matokeo ya mechi hiyo na kushinda bonyeza *149*89# au bofya hapa kushiriki. Kunjua jamvi lako.”

Comments

error: Content is protected !!


Share.

About Author

Leave A Reply