Saturday, August 24

WATOTO 11 WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO BILA KUFUNGUA KIFUA

0


Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa
watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao
kutoka Shirika la Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart – SACH) la nchini
Israel wakimfanyia upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo kwenye
paja mtoto mwenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo “Congenital Heart Disease” wakati
wa kambi maalum ya matibabu ya siku saba inayofanywa na madaktari hao katika
taasisi hiyo. Jumla ya watoto 11 wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa
upasuaji mdogo wa moyo wa bila kufungua kifua na hali zao zinaendelea vizuri


Share.

About Author

Leave A Reply