Monday, June 17

UCSAF YAZINDUA CLUB ZA ICT SHULE ZA SEKONDARI DODOMA,MSALATO

0


Naibu Waziri wa Mawasilono na Uchukuzi, Atashasta Nditiye (kulia) akifurahia jambo baada ya kutazama kazi iliyofanywa na mwanafunzi wa Dodoma Sekondari wakati akizindua Club ya ICT na Maabara ya Kompyuta sjuleni hapo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF). UCSAF wamekabidhi kompyuta 10 katika maabara hiyo. 

 Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye (katikati) akikata utepe kuzindua maabara ya Compyuta na ICT Club katika Shule ya Sekondari Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 10 ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) yanayofanyika Mkoani Dodoma kitaifa. Wengine pichani toka kulia ni Makamu Mkuu wa Shule, Naibu Katibu Mkuu, Mawasiliano, Dk Jim Yonazi , Mtendaji Mkuu wa UCSAF,  Peter Ulanga, Mwenyekiti wa Bodi ya CSAF, Joseph Kilongola,  Mwalimu Mkuu Dodoma Sekondari, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, Dk. Maria Sasabo pamoja na watumishi wa UCSAF na walimu .UCSAF imetoa wamekabidhi Computa 10 kwa shule hiyo. 

 Naibu Waziri wa Mawasilono na Uchukuzi, Atashasta Nditiye akiangalia kazi za wanafunzi katika maabara hiyo. 

 Wanafunzi wakiwa maabara ya Compyuta 

 Mtendaji Mkuu wa UCSAF, Peter Ulanga akizungumza

 Naibu Waziri wa Mawasilono na Uchukuzi, Atashasta Nditiye akizungumza na kusisitiza umuhimi wa matumizi sahihi ya TEHAMA katika kufikia uchumi wa kati. 

 Wanafunzi wa kidato cha sita wanaosoma masomo ya Sayansi Dodoma Sekondari wakifuatilia hotuba za viongozi 

 Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye (kushoto) akiteta jambo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF),  Peter Ulanga (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya CSAF, Joseph Kilongola, wakati wa hafla hiyo Dodoma Sekondari.

Picha ya pamoja 


Share.

About Author

Leave A Reply