Sunday, August 25

TASWIRAZZ MBALIMBALI KUTOKA UWANJA WA TAIFA LEO KATIKA MASHINDANO YA QUR-AAN.

0


Waislamu wajitokeza kushuhudia mashindano ya kusoma Qur-aan yaliyofanyika leo jijini dar es salaam.

Mshiriki wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi  Qur-aan bi . Summayyah Juma akisindikizwa na vijana wa Skauti mara baada ya kumaliza kusoma na kuibuka mshindi wa 5 akiwa ni binti pekee kati ya washiriki wote walioingia katika mashindno hayo.

Baadhi wa waumini na waalikwa wakiwa uwanjani kushuhudia mashindano hayo.

Share.

About Author

Leave A Reply