Saturday, August 24

Huu hapa uamuzi wa Serikali mara baada ya kukabidhiwa bajeti ya mazishi ya Akwilina

0“Serikali imeipokea bajeti ya mazishi ya marehemu Aquilina (pichani) ya zaidi ya Sh milioni 80 tuliyowakabidhi jana, lakini imesema haitakabidhi fedha isipokuwa itagharamia kila kitu kilichoorodheshwa katika bajeti hiyo,”-Kaka wa marehemu na Katibu wa Kamati ya maziko.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.