Thursday, August 22

Ufaransa: Rais Macron alaani tukio la utekaji Trebes, watu 3 wauawa

0
Watu watatu wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa nchini Ufaransa katika tukio la utekaji lililofanywa na mtu mmoja aliyekuwa na silaha kwenye duka moja la jumla kwenye mji wa Trebes kusini mwa Ufaransa ambapo aliwashikilia mateka watu kadhaa na kuthibitisha kuwa mfuasi wa kundi la Islamic State.Read More

Share.

Comments are closed.