Thursday, August 22

SHULE MOJA GHANA YAPEWA KOMPYUTA NA KAMPUNI YA MICROSOFT.

0

Shule moja nchini Ghana wazawadiwa Kompyuta na kampuni ya nchini marekani baada ya kuona kwenye mitandao yakijamii  mwalimu nchini humo akifundisha somo la Kompyuta kwa kuchora ubaoni.

Tujifunze, pamoja na changamoto zote za sekta ya elimu, tuendelee kutekeleza wajibu kwani huwenda katika kutekeleza huko tutaishaidia nchi.

Elimu AfrikaRead More

Share.

About Author

Comments are closed.