Tuesday, July 23

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WABUNGE WALIO KULA KIAPO BUNGENI LEO

0
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Ukonga, Mwita
Waitara baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.


 Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Korogwe Mjini
baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba 06, 2018.

 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale,
Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma leo Novemba
06, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Share.

About Author

Leave A Reply