Thursday, February 21

VINARA MASUALA YA JINSIA BUNGENI WAJENGEWA UWEZO WA UCHAMBUZI WA BAJETI KIJINSIA NA MWEZESHAJI KUTOKA TGNP MTANDAO KATIKA KIKAO KILICHOFANYIKA LEO KATIKA OFISI ZA BUNGE JIJINI DODOMA.

0


Naibu Spika wa Bunge, Dkt.
Tulia Ackson akizungumza  jambo wakati wa kikao kazi na Vinara wa Masuala
ya Jinsia Bungeni kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018 katika Ofisi za
Bunge Jijini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa
Wabunge Vinara wa Masuala ya kijinsia Bungeni Mhe. Suzanne Lyimo akiongoza kikao
kazi wa Masuala ya Jinsia Bungeni kilichofanyika leo tarehe 8 Novemba 2018
katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Share.

About Author

Leave A Reply