Monday, July 15

UZINDUZI WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE

0


Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa
akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kitabu cha Mkakati na Mpango Kazi wa
Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge mara baada ya kuzindua Mkakati huo
leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Anayefuata ni Naibu Spika, Mhe.
Tulia Ackson na Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai, wa kwanza kushoto ni
mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey
Mulisa.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wakifurahia uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi
wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Msekwa Jijini Dodoma. Wengine ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson, Katibu wa
Bunge Ndugu Stephen Kagaigai na wa kwanza kushoto ni mwakilishi kutoka Shirika
la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa
akikata utepe katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha
Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa
Jijini Dodoma. Shughuli hiyo imeshudiwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai,
Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson,  Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai na
mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey
Mulisa.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa
katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya
uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya
Bunge uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma wengine ni Naibu
Spika, Mhe. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai, mwakilishi
kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa (wa
kwanza kushoto), wengine nyuma ni watendaji mbalimbali wa Mradi wa kulijengea
Bunge Uwezo (LSP).

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Share.

About Author

Leave A Reply