Tuesday, July 23

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA NA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MERCY ANNA MENGI KANISA LA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEO

0


Watoto
wa marehemu Regina na Abdiel Mengi wakiingia kanisani katika ibada ya kuaga
mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini
Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli walishiriki

 Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa
kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika
kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John
Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki

 Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama
Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba
8, 2018.

 Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kutoa heshima zao za mwisho
kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front
jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.

Picha na Ikulu 

Share.

About Author

Leave A Reply