Thursday, February 21

POLISI BINGWA TAEKWONDO KENYA YA PILI, RPC AWAITA OFISINI

0 Mchezaji
mwenye umri mdogo toka Kenya akiwa ameuangushwa chini baada ya kupigwa
teke na mchezaji wa timu ya Taekwondo ya Polisi Arusha katika mchezo wa
mashindano ya Nane Nane yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Tripple A
uliopo jijini hapa na Polisi kuibuka mshindi. (Picha na Rashid Nchimbi
wa Polisi Arusha) 


 Wachezaji
wa timu ya Polisi Arusha Taekwondo wakimpongeza mmoja wa wachezaji wao
mwenye umri mdogo mara baada ya kushinda mchezo wake dhidi ya mpinzani
wake toka Kenya katika pambano la Nane Nane Taekwondo Clubs Championship
lililofanyika ukumbi wa Tripple A uliopo jijini Arusha. (Picha na
Rashid Nchimbi wa Polisi Arusha)

Share.

About Author

Leave A Reply