Friday, July 19

NAIBU WAZIRI KANYASU AWATOA HOFU WATUMISHI JUU YA MASLAHI YAO BAADA YA UJIO WA JESHI USU

0 Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (wa pili
kushoto) akimsikiliza  Mhifadhi ,kuu  wa Mamlaka ya Hifadhi ya enoe la n
Ngorongoro, Dkt.Freddy Manongi  wakati  alipowatembelea jana katika 
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kuzungumza na 
kuwasikiliza watumishi wa Mamlaka hiyo juu ya changamoto mbalimbali
zinazowakabili ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi 
 Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu ( kushoto)
akipewa maelezo na Dkt. Maurus Msuha (katikati) wakiwa kwenye sehemu ya
kuonea wanyamapori (View point) ya Ngorongoro Kreta wakati alipotembelea
jana  kwa ajili ya  kuzungumza na kuwasikiliza watumishi juu ya
changamoto mbalimbali zinazowakabili ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi 


 Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu ( wa kwanza 
kushoto) akiwa ameongozana na  Menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya eneo
la Ngorongoro akipewa maelezo wakati alipotembelea jana kabla ya
kuzungumza na  kuwasikiliza watumishi wa Mamlaka hiyo juu ya changamoto
mbalimbali zinazowakabili ili kuweza kuzitafutia ufumbuzi

Share.

About Author

Leave A Reply