Saturday, July 20

LEO KATIKA BUNGE MJINI DODOMAJUMATANO NOVEMBA 7, 2018

0
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Malindi Ally Saleh, kwenye viwanja vya
Bunge jijini Dodoma. Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mbunge wa viti maalum Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma.
Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama
, Bungeni jijini Dodoma
Novemba 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share.

About Author

Leave A Reply