Saturday, August 24

HABARI: MABWENI SHULE YA WASICHANA ASHIRA YANATEKETEA KWA MOTO

0


Picha kutoka eneo la tukio

Mabweni ya shule ya sekondari ya Wasichana Ashira iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro yameteketea kwa moto, Mkuu Wa mkoa wa Kilimanjaro Bi Annie Mgwira, amedhibitiksha kutokea kwa tukio hilo lililotoke majira ya asubuhi na amesema tayari askari wa Zimamoto walitumwa eneo la tukio

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.

Share.

About Author

Leave A Reply