Sunday, August 25

FASIHI YA KISWAHILI NA KIAFRIKA ,ORODHA YA VITABU VYA FASIHI NA WAANDISHI WAKE

0                                 
                                     HADITHI FUPI

S/N MWANDISHI JINA LA KITABU MCHAPISHAJI MWAKA DHAMIRA
1 Abdallah Khalfani Mfalme Ndevu Na Mmaskini Mkata Kuni Readit books 1995 Dhullma,urasim na tama
2 Abed, Mehta Anaona anasikia Methews books store and stationaries 2003 Mathara ya ukimwi
3 ABED,Mehta Mtego kabambe Methews Books store and stationary 2003 Elimu na mafunzo
4 AMIR Alli Jamaadar Hadithi zenye mafunzo Oxford university press 1973 Elimu mafunzo maadili
5 Arnott,K Ayo msichana wa kiafrika Oxford University press 1967 Upendo
6 Athuman Abbasi Kuku njiwa kicheche na hadithi nyingine Readits books 1996 Maadili
7 Backman,P.J Hekaya za mjini Ndanda Mission press 1974 Mawaidha mbalimbali ya kiroho nakimwili,Upendo na uvumilivu
8 Baitu Richard Mkia wa chura LDS PABLISHER 2002 Umoja haki na upendo
9 Balisdya Ndyanayo Ushindi wa majeruhi na hadithi nyingine DUP 1994 Matatizo ktk maisha
10 Banzi ALEX Tamaa mbele na hadithi na hadithi nyingine NMP 1970 Uchumi wa utajiri,athari ya tama uchoyo na urafi
11 Bata,A.A. Chatu Ndanda mission press 1983 Ukinzani ktk maelezi baina ya ukristo na uislam,Mpenzi kabla ya ndoa
12 Bwana Jems,H Mganga pazi Heko pablisher 1991 Ulaghai katika kupata mali
13 Chiraghdin,C  Malapa wa mvita OUP 1974 Ukombozi
14 Chmbila,M.D Neema jasiri DUP 2005 Moyo wa kujituma,ujsiri na upendo
15 Chowo H,T Kisa cha kuku na mwewe MPB enterprisis 2005 Usikivu
16 Chuma,A Fadhili msiri wa naugua TPH 1980 Mila na jadi
17 Chuma,A Gongo la umma Star Agencies LTD 1980 Harakati za ukombozi
18 Chuma,A,K Kunga za kiswahili CHEWATA 1980 Mapenzi na ndoa,Tathmini ya elimu  
19 Chwo,H.T Kipepeo amnusuru binadam MBP enterpresis 2004 Huruma,Upendo na maadili
20 Dira,D,E Sultani liyegeuka korongo na hadithi nyingine The Sheldon press 1952 Hekaya mbalimbali za binaadam ba ubinadamu wao,Na matatizo mengine yakupendeza na kustaajabisha
21 Diwai Ramadhani Shinikizo la fedha Tanzania Book Club 1996 Mattizo ya urithi ktk familia
22 Djoreto,Amu Mwezi aliye mwoga Heineman publication 1992 Maonyo kwa jamii
23 Djoreto,Amu Mapacha Matatani Heinemann Publication 1991 Upendo,umoja na dhuluma.
24 Ganzel,E Kitanzi Utamaduni Publication 1984 Upelelezi
25 Getanguthi,E,N Aliyebeba chatu na hadithi nyingine OUP 1987 Miila,miiko,uaminifu na juhudi
26 Habibu Mbaruku  Koroingo na kobe MBP ENTER PRISISE Umuhimu wa umoja na kutenda mema
27 Haji,g.Haji Nahodha Chui Oxford university press 2004 Ujasiri
28 Juma Shabani Alli Kisa cha binadamu na Wanyama Rafiki Publishers Ltd 2005 Upendo,Huruma na juhudi.
29 KAMERA,W,D na wenzake Hadithi za wiraqwi wa Tanzania EALB 1978 Mila na tamaduni za makabira ya Tanzania
30 Kamera,W.D Na wenzake Si watu? OUP 1989 Ukweli,Upendo na ushirikiano
31 Kamera.W.D na wenzake Elimu kwa ngano Maarifa cooperation DSM 1982 Visa na hekaya kuhusu tamaduni ya kiafrika na faida za ngano hizo kwa kizazi cha leo
32 Kamoro yuda Usininyonge Long man 1970 Unyonyaji
33 Kana,joachim Masimulizi ya sebuleni TMP book department 1970 Mafunzo na kazi
34 Karago T Kisa cha nyuki na Tembo TPH 1979 Unafki na uchonganishi
35 Karago,T Kisa cha mzee wa kizaramo na mototo wa wenzie TPH 1979 Tibia njema na msingi wa maisha
36 Karago,T Ugomvi wa panzi furaha kwa kuguru TPH 1979 Tahadhari ktk maisha
37 Karago,T, Hadithi zenye hekima na maadili TPH 1979 MAADILI MEMA
38 Katama bairu Sokoni kariako Tamtam book club 1996 Matatizo ya mjini kwa wageni
39 Kezilahabi,E Kijana yule DUP 1991 Umuhimu wa elimu
40 Kimaro,Jerome Safari ya MAMA Tema Ppblisher LTD 2000 Malezim kwa watoto na upendo
41 Kitalambula,F,H Lawalawa na hadithi nyingine Premier publishers 1976 Utamaduni mafunzo na malezi
42 Mahimbili,Renatusi Jumanne moja kando ya mto Heinemann drum publishers 1996 Uharibifu wa mazingira,Umasikini na elimu
43 Mahimbili.Renatus Bibi mwenye macho mekundu Ruvu publishers 2005 Uchawi na ushirikina
44 Mchana.A,E Marafiki wawili Mtulre educational publisher 2002 Uaminifu umoja na ukweli
45 Mkufya,W,E Mbuzi waliokosa subira Mangrove publisher 2003 Utii na tama
46 Mkufya,W,E Tumbili na Mkia Wake 2003 Tamaa na ushirikiano
47 Mkufya,W,E Mtawa wa binti wa mfalme Ruvu publishers 1999 Kutunza mazingira
48 Mkufya.W,E Androbo na samba Mture publishers 1998 Kulipa fadhila
49 Mlingwa,F,E Haki itatawala dunia Longman 1972 Dhulima tumaini na ukweli
50 Mlingwa.F,E Kuwa uyaone Tanzania Litho LTD 1971 Elimu maonyo na maadili
51 Mng’anda,B,S Shukrani za samba READIT BOOKS 1992 Kutodhani utu na kutoa shukrani
52 Mnyaka Onge Nani kama Heko publishers 2003 Kjitegemea na kujituma
53 Mohamoud Rahman Malki mroho Ruvu publishers 2004 Uchoyo urafi na maadili
54 Msewa,O Kifo cha ugenini TPH 1974 Haraka za ukombozi
55 Msokile,M Cha mnyonge TUKI 1974 Dhulma na unyonyaji
56 Msokile,M Nyota TUKI 1974 Athari ya uhuru usiokuwa na mipaka
57 Msokile,M KIUMBE TUKI 19741 Athari za kutoa mamba
58 Msokile.M Ukungu TUKI 1974 Msimamo wa maisha
59  Mwaipyana Albert Simu ya mwanamwali Methews Book store and stationary 2003 Umuhimu wa mawasiliano na maadili mema
60 Mwanga Mngedia.A Mti uliozungumza Ruvu publishers 1996 Malezi maadili na upendo
61 Rashid .M,K.Longido Wawindaji watatu UOP 2004 Uchoyo Dhulma na tama
62 Rashid ALLI ,M Sungura na Mbweha OUP 2004 Ujasiri na ujanja
63 Rashid Alli,M Safari ya Hamadi UOP 2004 Utukutu kwa watoto na elimu kwa watoto
64 Safari,A Kabwela DUP 1978 Sasa na uchumi
65 Sealay.Patricia Mjuzi aliyemzunguka Heinmann publishers 1995 Maadili mem,a na heshima
66 Seka,B.R Kipeuo na kipeo Kapsel educational publishers LTD 2002 Kujifunza hesabu
67 Selengwa,L,S Yowe la majuto Ndanda jmission press 1981 Uaminifu ktk mapenzi na ndoa pamoja na tama ktk maisha
68 Semkiwa.D Mazungumzo ya babu zetu OUP 1974 Mila na destuli za makabila ya Tanzania
69 Shaabani,K Siri ya bahati BSA LTD 1995 Ndota za wanaadam
70 Shija Paschal Njiwa na kinda mkaidi TBH 1994 Adhali ya ukaidi kutosikia ya wakuu
71 Siedle,A,S Paulo na kalumanzila T,M.O.book department (Tabora) 1980 Mafunzo ya dini ya kikristo
72 Singija,D Kukopa harusi kulipa matanga Ndanda mission press 1975 Matatizo yanayo ikabili jamii kama vile umasikini,uhaminifun ktk kukopa na kulipa.
73 Tawakal,Alhaji Hadithi zenye hekime na maadili TPH 1979 Madili mema na malezi
74 Thonya,Z,N Mashairi ni mtego BSA LTD 1978 Maisha yenye msukosuko
75 Yahaya.S.S Pepeta Kenya Litho LTD 1971 Ujasili uzalendo na maisha ya mwafrika
76 Rwechungura G Masimulizi ya Wahenga Print park Tanzani Ltd 1972 Umoja mafunzo na maadili.
76 Rawah F S Zimwi la mrima Diamond Distributors Services 1951 Uvamizi wa wakoloni Afrika na harakati za ukombozi wa Kisiasa
77 Omalo L. O Kisa cha Harusi Longman 1968 Vita
78 Omari C A Shariff Isa Bin Tajiri na Hadithi nyingine High Way Press Nairobi 1949 Hekaya mbalimbali za maisha ya umwinyi barani Afrika hasa pwni ya Afrika mashariki
79 Richard Deus M Mbegu ya Ajabu Mwnza Business Association 1997 Umoja na uadilifu
80 Ruhumbika G Uwike usiwike kutakucha. Eastern Africa Publication 1978 Ukombozi dhidi ya dhuluma

81 Ruhumbika G Wali wa ndevu na hadithi nyingine Parapanda 1982 Ujenzi wa jamii mpya.
82 Riwa R L Hadithi za rafiki saba  The Eagle Press Nairobi 1951 Mila na Desturi za Makabila ya Tanganyika
83 Omari C A Shariff Hassan El Basir The Eagle Press Nairobi 1951 Mawaidha juu ya upendo na Amanikatika maisha ya binadamu
84 Omari C.K Hadithi z bibi Print Park Tanzania Ltd 1970 Wosia kwa jamii kutoka kwa wazee
85 Ogejo S. C Mwindaji hodari HEB  1974 . Mbinu za uwindaji na ujasiri
86 Nuru S. N Ndoa ya mzimuni EALB 1974 Mapenzi ya dhati, uovu pamoja na dhuluma
87 Ngole S. Y Fasihi  Simulizi ya Kitanzania TUKI 1977 Mkusanyo wa hadithi zenye mawaidha ya kimalezi kwa vijana chipukizi.
88 Ng’ombo N Hekaheka za Ulanguzi Ndanda mission Press  1982 Matatizo yaliyolikumba Azimio la Arusha.
89 Nyalusia G.P Kisa cha mwanamke mjane Ndanda mission Press  1984 Jitihada mbalimbali za ukombozi wa wanawake
90 Nyabongo A Upepo wa mwangaza EALB 1974 Upendo na maadili
91 Ngalime JANI Umoja ni nguvu Mangrove Publishers 2005 Ushirikiano na umoja katika jamii
92 Mohamed  M.S Kcheko cha ushindi Shungwaya 1978 Wawaidha mema na malezi kwa vijana.
93 Mdoe. C Kilemba cha Ukoka. Grand arts Promotions 1984 Athari za  uwongo na Unafiki katika mapenzi.
94 Mkwindu T.S  Nimekugundua Ndanda mission Press  1972 Madhara ya ujamaa Afrika.
95 Mbawala A 1992 Mapenzi na Majonzi katika Maisha.
96 Mbwali L. A Kisa mke Ndanda mission Press 1984 Madhara ya kupenda na kuendekeza ngono,utengano na Maradhi.
97 Mandao M Musa Central Tanganyika Press 1968 Ukarimu na Upendo
98 Mbena I,S Ujamaa utafaulu Black Star Agency 1978 Vijiji vya ujamaa na uongozi mbaya
99 Muamba B .M Visa vya Maadili Ndanda mission Press 1984 Nukuu za ngano za makabila mf,wayao na Kimakua.
100 Mdoe Fred J Hila za kobe Coulor Print Ltd 1969 Mafunzo kwa jamii
101 Mwonge E.G.C Wosia wa baba EALB 1962 Maadili ya wazee kwa vijana
102 Makunja  G. C Tha za Mjini Ndanda Interprises Ltd  Tanzania 1981 Unyonyaji na unyanyasaji
103 Mnyapala Bernard Cheo dhamana EAPH 1976 Utumishi mzuri wa jamii kwa kuthamini cheo.
104 Mayego P.B Watembelea Mbuga MPB Interprises 2003 Utunzaji wa mazingira maadili na udadisi
105 Mohamed , Amina  A Paka asiyependa Maziwa OUP 2004 Utukutu na Elimu kwa watoto.
106 Mbiro (na wernzake) Hila za bwana simba Ndanda Interprises Ltd  Tanzania 1998 Uchoyo, Urafi na Wivu.
107 Mng’anda  B.S Shukurani za Simba Readit Books 1992 Kutothamini utu na kutoa shukurani.
108 Nahodha Fikirini Oxford University Press 1971 Ujasiri na ushujaa.
109. Lema Elieshi Mwendo E and D  Ltd 1998 Athari za UKIMWI
110. Safari ya Prospa E and D  Ltd 1995 Werevu, ushujaa na Ujasiri

                                           USHAIRI

1 Abeid Amir.K Sheria za kutunga mashairi nadiwani ya Amir EALB 1954 Mawaidha mema na maadiri ktk maisha
2 Akilimali.K.H.A(Snow white) Diwani ya Akilimali EALB 1966 Mawaidha mema na maadili mbalimbali kama vile wema na upendo
3 Alen .J.W.T Utenzi wa mwanakupona HEB 1972 Maadili mema na wosia juu ya wanawake wa Pwani na Afrika Mashariki
4 Alen.J.W.T Ushindi wa ngamia HEB 1972 Mila na desturi mbalimbali za kitanzania na Ngano nyingine
5 Amir Mwinyi.M Tungo zetu TPH 1977 Mawaidha na burudani bora ktk maisha
6 Bashir Aboud(M.H) Utenzi wa mikidadi na Mayasa HEB 1972 Habari za maisha kuhusa mashujaa wawili Mikidadi na Mayasa
7 Chacha.N.Chacha Ushairi wa Abdilatif Abdallah,Sauti ya utetezi DUP 1992 Ukombozi wa kisiasa
8 Chum Haji Utenzi wa vita vya uhud EALB 1962 Vita vya waislam na Mayahudi wa Makkah
9 Coronation printers Mbombasa Utenzi wa maisha ya nabii Mohammedi Coronation printers Mombasa 1962 Historia ya mtume Mohammad (SAW)
10 Cory.Hans Sikilizeni mashairi Lake printing works LTD Mwanza 1961 Upendo,Amani na ushirikiano
11 Faqihi Mgeni Utenzi wa rasi -lghuli TPH 1979 Mgongano kati ya mila na destuli za kiislam na za kale huko Saud-arabia
12 Frenk Wiliam Diwani yangu KLB 1979 Mawaidha mbalimbali ya kijamii kama vile siasa safi,adabu,heshima na upendo
13 Hajji.G,Hajji Kimbunga TUKI 1995 Siasa, uchumi rushwa na Utamaduni
14 Harries.L Utenzi wa mkunumbi EALB 1967 Mawaidha juu ya maonyo mbalimbali
15 Honero.L.N(NAwenzake) Matunda ya Azimio TUKI 1980 Uongozi,Usawa na uchumi na ustawi wa jamii
16 International language committee Mashairi mamboleo 1 The Sheldon press 1946 Mawaidha juu ya maisha hasa wakati wa ukoloni
17 Jamaldin,A. Utenzi wa vita vya majimaji supplement vol.27 IKR 1957 Historiya ya matokeo ya vita vya majimaji
18 Kahigi.K.K Maisha ya kisasa TPH 1984 Sisa mapenzi na ndoa
19 Kandoro,S,A Mashairi ya Saadani Mwananchi publication LTD 1972 ELIMU SIASA NA UCHUMI
20 Kandoro,S,A Liwazo la ujamaa TPH 1978 Mapigno dhid ya unyonyaji,na mawaidha juu ya siasa ujamaa na kujitegemea
21 Karama,S Utenzi wenye fahari Macmilan press 1986 Lugha,mafunzo na maadili mema
22 Kezilahabi.E. Kichomi Heinman Nairobi 1974 Mgogoro wa ushairi,mvutano kati ya ukale na usasa pamoja na ujenzi wa jamii mpya.
23 Kezilahabi.E. Karibu ndani DUP 1988 Mgogoro kati ya ukale na usasa,Falsafa ya maisha
24 Khatibu, M S Fungate la uhuru Education service center 1988 Uongozi Mbaya
25 Khatibu.M.S Utenzi wa ukombozi DUP 1975 Mapenduzi na ukombozi
26 Khatibu.M.S Pambazuko EAPH 1982 Ujenzi wa jamii mpya na uongozi mbaya
27 Kija.P.M Wimbo wa kandambili Ndanda mission preaa 1987 Mawaidha ya imani ya kikristo
28 Knepert.J Utenzi wa fumo liongo East AFRICAN KUSWAHILI COMMITEE 1931 Kukua kwa miji ya Africa Mashariki, tama, Usalitna Ushujaa wa Fumo Liongo
29 Lambert.A.E Diwani ya Libert EALB 1971 Mapenzi na ndoa
30 Lesso.Z.H Utenzi wa zinduko la ujama EALB 1972 Historia fupi ya watanzania kabla ya uhuru,baada ya uhuru,harakati za kujenga ujama
31 Lody,A,A Tafkira Writers book mashine 1986 Huba na siasa
32 Maimbi.E.M Utenzi wa ccm TPH 1981 Mazungumzo juu ya kuundwa kwa CCm na harakati za muamko wa kisiasa Tanzania
33 Masamba.D.P.B Diwani ya Masamba NELSON PUBLISHERS(CANADA) 1976 Mawaidha juu ya malezi na tamaduni za kiafrika
34 Mayoka.J.A Utenzi wa vita vya uhuru wa Msumbiji EAP 1978 Harakati z ukombozi Msumbiji
35 Mayoka.J.A mizizi Diwani ya Mayoka TPH 1984 Mawaidha juu ya maadili mema na sanaa ya ushairi w kimapokeo
36 Mbega.Hassani.Mwalimu  Upisho wa malenga EALB 1974 Mawaidha  mbalimbali juu ya maisha ya mwanadamu,wema, dhamana na uaminifu katika maisha.
37 Mchimbi.B.R Wachawi wa Afrika TANZANIA LIBRARY SERVICE DSM 1979 Mila potofu za kitanzania na ukombozi wa watanzania
38 Mdundo.M.O Utenzi wa JWTZ TPH 1987 Historia,Mapambano na shughuli za jeshi la Wananchi
39 Mhina.G.A Utenzi w kumbukumbu za azimio la Arusha BLACK STAR AGENCY 1979 Mambo yaliyofanyika wakati wa azimio la Arusha
40 Mloka Charles Diwani ya Mloka BENEDICTINE PUBLICATION 1977 Maadili mema na maoni
41 Mnyampala.M. Diwani ya mnyapala EALB 1965 Ukoloni mamboleo na umoja
42 Mnyampala.M. Waadhi wa ushairi EALB 1965 Maadili mema na umoja katika jamii
43 Mnyampala.M. Ngonjera za ukuta 1 na 11 OUP 1970 Harakati mbalimbali za kulitangaza  azimio la Arusha
44 Mnyampala.M. Sera mbalimbali za kulitangaza azimio la arusha OUP 1971 Sera mbalimbali za kulitangaza azimio la Arusha.
45 Mnyampala.M. Fasiri johari ya maisha TANGANYIKA RIPUBLICATION 1964 Mawaidha juu ya historia ya ushairi na utakiwavyo uwe
46 Mochiwa,Z Mvumilivu hula mbivu DUP 1988 Jinsi subira na uvumilivu wa wnanchi  unavyorudisha nyuma maendeleo yao
47 Muhamed..Salehe Utenzi wa ego lenye itifaki EALB 1974 Mawaidha ya kidini n waosia bada ya kifo
48 Muhamed.A.A Ujenzi w misha ya nabii adamu na Hawa EAST AFRICAN SWAHILI COMETEE 1971 Kisa cha maisha ya Adam na Haw pamoja na chanzo ch dhambi kwa wanaad
49 Muhamed.A.A na UKKI.M.J Utenzi wa sungura ,turuke daraja tatu kwa kujifunza lugha yetu OUP 1996 Umoja na mshikamano.
 Katika hrakati yeyote ya kujikomboa.
50 Muhanika,H. Utenzi wa vita vya Kagera na anguko la Idd Amin DUP 1981 Ukombozi wa watanzania na matatizo ya vita vya Kagera
51 Mulokozi.M,M Malenga wa bara DUP 1995 Falsafa na maana ya maisha,kifo,mapenzi na ujenzi wa jamii mpya
52 Mulokozi.M.M Utenzi wa nyakiiru Kibi ECOL PUBLICATION LTD 1997 Mila na desturi za Watanzania
53 Mulokozi.M.M
Kahigi.K.K Kungo za mashairi na Diwani yetu TPH 1979 Siasa,ndoa na falsafa katika Maisha.
54 Mvungi.T.  Chungu tamu TPH 1985 Ujenzi wa jamii mpya
55 Mvungi.T.  Mashairi ya cheka cheka EPD LIMITED 1995 Ujenzi wa jamii mpya
56 Mvungi.T.  Raha karaha CONTINENTAL PUBLISHER 1982 Utetezi wa haki za wanyonge
57 Mvungi.T.  Dawa mirefu KIUTA 1977 Mardhi na magonjwa yasiyo tibika.
58 Mwalimu.A.Rashidi Utenzi wa Kunguru E AND D LTD 2005 Athari za uigaji mambo kutoka nje
59 Mwaruka,R Utenzi wa Jamuhuri ya Tanganyika EAPH 1968 Historia ya Tanganyika toka enzi za mwarabu
60 Nassiri. A Malenga wa mvita SHUNGWAYA PUBamuLISHERS LTD 1977 Maisha ya amani madili na mafunzo
61 Noor.I Utenzi(Utenzi wa kiama) HEINMAN BOOKS NAIROBI 1972 Mawaidha mbalimbali ya siku ya hukumu.
62 Nuru.S.M Malangomwa kiswahili EALB 1975 Kukua kwa Kiswahili na tamaduni za waswahili
63 Nyamume.K.A Diwani ya ustadhi nyamaume SHUNGWAYA PUBLISHERS LTD 1976 Maadili mema katika maisha
64 Nyerere.J.K Utenzi wa matendo ya mtume NMP 1996 Maadili na matumaini katika maisha
65 Nyerere.J.K Utenzi wa injili NMP 1996 Mawaidha mbalimbali juu ya imani ya dini ya kikristo kuhusu miujiza ya Yesu kristo
66 Okot,P.Bitek Wimbo wa Lawino TPH 1975 Utamaduni wa kiafrika na dawa za jadi.
67 Omary.C.K Usawa wa binaadamu EASTERN AFRICAN PUBLISHERS LTD 1976 Falsafa juu ya maana ya usawa wa binaadamu,faida zake,pamoja na athari za kukosekna kwake.
68 Ridhiwani.P Kisa cha utenzi tawafuri nabii TUKI 1992 Siasa na mapinduzi
69 Robert.S Pambo la lugha EASTERN AFRICAN PUBLISHERS LTD 1947 Maadili katika maisha na sanaa za lugha
70 Robert.S Koja la lugha NELSON 1945 Maadili katika maiha ,maonyo n malumbano
71 Robert.S Mwaafrika aimba NELSON 1946 Uzalendo na malumbano
72 Robert.S Almasi za Afrika NELSON 1946 Malumbano na maadili
73 Robert.S Ashiki kitabu hiki NELSON 1946
74 Robert.S Masomo yenye adili NELSON 1967 Maadili na maonyo
75 Robert.S Diwani ya shaabani Robert NELSON 1968 Maadili na maonyo
76 Robert.S Kielelezo cha fasili NELSON 1968 Maadili,maonyo na maana ya mapenzi
77 Robert.S Mapenzi bora EVANS BROTHERS LTD 1970 Maadili
78 Robert.S Sanaa ya ushairi NELSON 1972 Uzuri wa ushairi
79 Robert.S Utu bora EASTERN AFRICAN PUBLISHERS LTD 1971 Umuhimu wa kilimo kama uti wa mgongo n uchumi wa Tanzania
80 Robert.S Insah na Mashiri. NELSON 1967 Mawaidha na maadili mema
81 Robert.S Utenzi wa vita vya uhuru OUP-NAIROBI 1967 Ukombozi wa kisiasa
82 Robert.S Siku ya watenzi wote EVANS BROTHERS  1992 Sanaa,Wasanii,umoja na mshikmano.
83 Salehe.A.A Changamka A.K.KHANA PRESS LTD 1988 Demokrasia
84 Sayyid,A.A.N Al-Inkishaf UOP-NAIROBI 1972 Kukua na kuanguka kwa miji ya Pwani ya Afrika ya mashairiki na falsafa ya maisha.
85 Sayyid,A.A.N Utenzi wa Abdulrahman na sufiani EALB 1961 Historia ya Abdulrahman Sufiyani.
86 Sayyid.A.A.N Utenzi wa kadhi Qassim Bin Jaafar TUKI 1972 Fitina na maadili;
87 Sengo.T.S.Y Maisha y mwezi wa ramadhani EAST AFRICAN PUBLICATION 1979 Mawaidha juu ya dini ya kiislam katika mwezi wa ramadhni.
88 Shirika la uchapishaji wa lugha za kigeni Ukuta mkuu wa kasri ya mfalme SHIRIKA LA UCHAPISHAJI WA LUGHA ZA KIGENI (BEIGING) 1990 Marudi na mawaidha mema.
89 Simganga.F Teuzi za nafsi TUKI 1971 Ukombozi wa wanaonyonywa,Dini,maadili mema ppamoja n uzalendo.
90 Somba.S Uwanja wa mashairi LONGMAN 1996 Sheria na kanuni za uaandishi wa mashairi.Umoja na Mshikamano
91 Stika.R.K Lugha ya mamba FORFATTARES-BOKMASKIN(UPPSALA) 1985 Mapenzi nz ndoa.
92 Sudi.A.A (Andanenga) Diwani ya ustadhi BENEDICTINE PUBLISHERS 1993 Siasa, elimu,uzalendo na uchumi.
93 Sudi.A.A (Andanenga) Bahari ya elimu ya ushairi BENEDICTINE PUBLISHERS 2002 Upana wa fani ya ushairi na umoja.
94 Takiluki Malenga wapya KITUO CHA EWW,MBWENI DSM 1997 Maswala ya uchumi, kilimo,Ukombozi.
95 Zakwany.A.S Diwani ya jinamizi EALB 1970 Maadili mema siasa na kilimo.
96 A,Abdallah Mashairi ya miaka kumi ya azimio la arusha UKUTA 1977 Umuhimu wa qzimio l Arusha
97 E,KIZILAHABI Kichomi HEANMAN EDUCATION BOOK(EA)LTD 1974 Maisha,siasa na uchumi pamoja na nyanja nyingine
98 Shaaban Robart Malenga wa bara EALB NAROBI 1979 Ujenzi wa jamii mpya
99 Zakariya Mochiwa Uvumilivu hula mbivu D,SALAAM UNIVERSITY PRESS 1981 UVUMILIVU UNAMWISHO
 Salim S.KIBAO Utenzi wa uhuru wa kenya Oxford university press 1972 UMUHIMU WA KUPIGANIA UHURU

                                                         

                                                                       
                                       TAMTHILIYA

S/N MWANDISHI JINA LA KITABU MCHAPISHAJI MWAKA DHAMIRA
1 Boukheit Amina Maalim TPH 1980 Mikinzano ndani ya Dini na Maisha ya kila siku
2 Shungwaya publishers 1977 Ujenzi wa Jamii mpya.
3 Boukheit Amina Zabibu Chungu IUP 1985 Mila na Desturi
4 Chacha C N Mke mwenza  Heinemann Publishers 1982 Matatizo ya mitaara na Wivu katika Jamii
5 Chimera R M Mnara wawaka moto NUP Nairobi 1998 Uhalifu,uovu na fitina.
6 Chogo Angelina  Wala mbivu EALB 1974 Ukombozi wa Kiutamaduni na suala la Elimu
7 Fawah F Zimwi la Mrima Diamond Publication 1991 Dhuluma na uonevu
8 Ganzel E Ndoto ya mwendawazimu. EALB 1972 Umasikini
9 Hussein E Kinjekitile OUP 1969 Ukombozi  wa Kisiasa
10 Hussein E Mila na desturi OUP 1971 Mila na desturi
11 Hussein E Mashetani OUP 1976 Mapinduzi ya Kifikra
12 Hussein E Arusi OUP 1980 Mila na desturi
13 Hussein E Wakati Ukuta OUP 1970 Mgogoro kati ya ukale na usasa
14 Hussein E Kwenye Ukingo wa Thim OUP 1998 Ukombozi wa Kiutamaduni,Ndoa na Malezi
15 Hussein E Alikiona HEB 1972 Athari za fitin na uongo katika jamii
16 Hussein E Jogoo Kijijini na Ngao ya Jadi OUP 1976 Harakati za ukombozi
17 Hyslop G Afadhali Mchawi EALB Nairobi 1957 Mila na Tamaduni za Kiafrika suala la Mapenzi na ndoa
18 Jilala H Giza  Angaza initiative Cooperation Ltd 2004 UKIMWI
19 Kaduma G Z Dhamana Mabatini TPH 1980
20 KAHIGI K.K [na wenzke] Mwanzo wa Tufani TPH 1975 Matabaka
21 Kangula, L Kung’ala Heko Kuanzisha Chama OUP 1977 Uhuru wa watu na uchaguzi wa viongozi
22 Kezilahabi E Kaptula la Marx DUP 1996 Utawala wa Kiitikadi hasa wa mafunzo ya Usoshalisti na Ubepari.
23 Kiimbila J,Saadan Kandoro Ubeberu Utashindwa na Mashairi ya  PSaadan TUKI 1971 Harakati za ukombozi dhidi y Ubeberu
24 Kithaka wa Mberia Kifo Kisimani Marimba Publication 2001 Usaliti na Harakati za Ukombozi.
25 Kulia H Nakupenda Lakini OUP 1957 Malezi,Mapenzi na ndoa katika Jamii.
26 Lihamba Amandina Hawala ya Fedha TPH Matabaka ,Urasimu katika Ofisi za Serikali
27 Lihamba Amandina Mkutano wa pili wa Ndege DUP 1992 Unyonyaji ,Ujinga  na Unyanyasaji
28 Luganda Majira ya Ukame EALB 1976 Imani za Jadi
29 Malima V M Uchafu Ndanda Mission Press 1983 Vita uharifu na harakati za Ukombozi
30 Mariam S M Mpaka lini? Angaza initiative Co.Ltd 2004 Madhara ya Rushwa,UKIMWI na Udanganyifu.
31 Mazrui ALLY Kilio cha Haki Longman 1981 Mapambano dhidi ya Udhalimu
32 Mbogo E Tone la mwisho DUPEducational service centre Ltd 1981 Harakati za Ukombozi, Usaliti na Udhalimu
33 Mbogo E Ngoma ya Ngwanamalundi TPH 1988 Unyonyaji Dhuluma na Ushirikina
34 Mbogo E Giza limeingia DUP 1980 Unyonyaji Mbaya na Hali ngumu ya maisha mjini
35 Mbogo E Morani OUP 1993 Hujuma na Ubadhirifu,Haki na Moyo wa Uzlendo
36 Mbonde J B Bwana Mkubwa Transsafrica Publishers 1974 Jitihada za wazalendo kupiga vita Ukoloni mkongwe,Mambo leo na aina zote za Unyonyaji
37 Medical aid Foundation Kilio chetu TPH 1992 Malezi kwa Vijana hsusani wazazi kuvunja ukimya juu ya swala la Mapenzi.
38 Mghanga A  Kilio cha Jesca Angaza initiative Co. Ltd 2004 UKIMWI,Unyanyasaji wa Kijinsia na Mila potofu.
39 Mhanika H Njia panda DUP 1981 Uchawi itikadi na Uganga wa Jadi
40 Mnyampala M Kila siyesikia  DUP 1997 Ubaguzi
41 Mochiwa Z S Hubaki TUKI 1977 Mimba ne ya ndoa na athari zake
42 Mohamed S A Kivuli kinaishi OUP 1990 Ujenzi wa jamii mpya Kujitoa Mhanga , Uchawi na  Ushirikina
43 Mohamed S A Kitumbua kimeingia mchanga OUP 2000 Migogoro itokanayo na matabaka Uongozi mbaya na Athari zake katika Jamii.
44 Mohamed S A Amezidi  EAPH Nairobi 1995 Mawaidha na Marudi mbalimbali
45 Mtande P K Masimulizi ya kazi katika kijiji chetu. Litho Arusha 1970 Umuhimu wa kazi,bidii,kujituma.Ukombozi wa Kiuchumi
46 Muba M M Hukoo Darisalama TPH 1980 Umuhimu wa kazi
47 Muhando p Lina Ubani DUP 1984 Uzembe kazini na Athari za vita vya Kagera
48 Muhando p Hatia EAPH 1972 Nafasi za Mwanamke na Ujenzi wa Jamii mpya
49 Muhando p Heshima yangu EAPH Migogoro ya Kijamii hasa katika swala la Mapenzi
50 Muhando p Pambo Swala Publications 1975 Harakati za Ukombozi hsusani ukoloni mkongwe pamoja na mila na desturi za Kitanzania matatizo yanayowakabili wasomi.
51 Muhando p Tambueni Haki zetu TPH 1975 Harakati za Ukombozi hsusani ukoloni mkongwe pamoja na mila na desturi za Kitanzania.
52 Muhando p Nguo za mama DUP 1982 Migogoro baina ya wanawake na harakati za ukombozi wa wanawake.
53 Muhando p Taraka si Mke wangu DUP 1977 Matatizo katika maisha na kuvunjika kwa Ndoa.
54 Muhando p Lihamba na Balisidya N M Harakati za Ukombozi TPH 1980 Ukombozi
55 Mulokozi M  M Mkwawa na Uhehe DUP 1988 Ushujaa na Ujasiri wa Mkwawa.
56 Mushi,S S [Msafiri] Mfalme Edipode OUP 1971 Tofauti kati ya uwezo wa Kiungu na wa kibinadamu
57 Mwiru M  S Mpaka lini? Angaza Initiative Co.Ltd 2004 Athari za Ajira za Watoto
58 Ndimara Tegamwage. Duka la Kaya Tausi Publishers 1985  Uhujumu uchumi
59 Ngakimecha Ngahyoma Kijiji chetu. TPH 1985 Uongozi Mbaya
60 Ngakimecha Ngahyoma HUKA TPH 1973 Mila na Desturi
61 Ngli Mwanyengela Mwana taabu n Michezo mingine. EALB 1974 Umuhimu wa Uvumilivu katika Ndoa
62 Ngozi  I Ushuhuda wa Mifupa. Inter-Press Tanzania Ltd 1990 Mmomonyokowa maadili na Athari za UKIMWI katika Jamii
63 Ngozi I Mahozi ya Mwanamke TPH 1977 Ukombozi wa kijinsia.
64 Ngugi G  Nimelogwa nisiwe na Mpenzi EAPH 1958 Ukombozi wa kiutamaduni Hsusani maswala ya Ndoa.
65 Ngugi wa Thiong’o Mtawa mweusi HEB 1970 Ukombozi na Mapenzi
66 Ngugi wa Thiong’o na  [wanawake] Nitaolewa Nikipenda HEB 1982 Mila na desturi,Matabaka Ndoa na Mahusiano
67 Nyambura Mpesha Kapotei na Lulu OUP 1985 Umuhimu wa kuwaheshimu wazazi
68 Nyrere J K [msfiri] Julias Kaizari DUP-DSM 1969 Mauaji, Mapenzi na habari za Maisha Kifalme.
69 Nyrere J K [msfiri] Mabepari wa Venis DUP-DSM 1969 Dhuluma ya Mabepari na Haki
70 Olagoke DO Hakimu mwadilifu Evn Brothers Ltd 1973 Nafasi ya mwanamke katika Jamii na mapambano yao dhidi ya Rushwa
71 Paukwa Theater Group Chuano DUP 1995 Migogoro katika Jamii.
72 Paukwa Theater Group Ayoubu Documentation and Publication 1984 Udhalilishaji na Hali ya unyonge katika Jamii
73 Paukwa Theater Group Ayubu Kampala Document Centre 1984 Haki.
74 Rukambelya V Msomi ILOS 1990 Matatizo wayapatayo wasoomi.
75 Sehoza  M Mwaa katika Minyororo University missionary for Central Africa. Zanzibar 1921 Fitna na adha za kukaa Jela.
76 Seme W Njozi za Usiku Longman –DSM 1973 Ukombozi nchini TANZANIA
77 Semzaba E Ngoswe Penzi kitovu cha uzembe DUP 1988 Hasara za Ulevi na Kutowajibika,Mapenzi na umuhimu wa Elimu.
78 Semzaba E Tende Hogo TPH 1984 Utumwa na Athari zake katika Jamii.
79 Semzaba E Sofia wa Gongolamboto Benedictine Publishers 1984 Ukombozi wa kijinsia na Mapenzi,Umuhimu wa elimu na Imani z kishirikina.
80 Sengo T S Y Mtumwa TUKI 1978 Athari zq utumwa.
81 Sengo T S Y Utani kwa vitendo DUP 1973 Ukombozi wa Kifikra na Mawaidha
82 Senkoro F E Adila Benedictine Publishers 2002 Mapenzi,rushwa,ukatili na wizi.
83 Sheraly N [nawenzke] Wakti ni huu TPH-DSM 1973 Faida ya Elimu ya watu wazima na Kisomo chenye Manufaa.
84 Topan Farouk MFALME JUHA OUP 1971 Tamaa mbele Mauti nyuma,Adabu na Heshima Tabia njema,Tamaa na choyo na Mauti.
85 Topan Farouk Aliyeonja Pepo TPH 1977 Matabaka na nafasi ya Dini katika Jamii.
86 Ubehoma K M Rushwa Nchini. TUKI 1978 Dhuluma ,wizi na Ukombozi.
87 Ugula P Ufunguo wenye hazina. Evan-DSM 1969 Maono na Maadili katika Maisha.
88 Wamitila K W Wingu la kupita. Spectrum media Ltd 1999 Uongozi mbaya,Dhuluma na Ushirikina.

                             
                                          RIWAYA

S/N MWANDISHI JINA LA KITABU MCHAPISHAJI MWAKA DHAMIRA
1 A Bedinko Mwasi H.E.B Nairobi 1972 Mgogoro Kati ya Ukale na Usasa
2 A. M kateti Kiwiliwili kilichopotea Ndanda Mission Press 1994 Ulevi, Uvivu, Mapenzi, Unyumba Na Mauwaji ya Kinyama (Maadili Katika Jamii)
3 A. R. Mhozi Pendo la Kifo T.P.H, DSM 1980 Ukosefu wa uaminifu na mapenzi katika ndoa
4 Abdallah L. Ajjm Habari za Wakirindi
5 Abdallah M.S Mzimu wa Watu wa Kale E.A.L Nairobi 1958 Athari ya dhuruma na upelelezi
6 Abdallah M.S Kisiwa cha Giningi Evans Brother Nairobi 1958 Uongozi Mbaya na ushikina
7 Abdallah M.S Dunia Kuna Watu E. A. P .H. Nairobi 1973 Maadili na maono kwa binadamu
8 Abdallah M.S Siri ya Sifuri E. A. P .H. Nairobi 1974 Upelelezi
9 Abdallah M.S Mwana wa Yungi Hulewa E. A. P .H. Nairobi 1976 Mila na tamaduni mbalimbali za kitanzania
10 Abdallah M.S Kosa la Bwana Msa Africana Publishers 1984 Upelelezi
11 Abdul Baka Salome T. P.H Dsm 1972 Nafasi ya mwanamke katika jamii
12 Ahando V Utaniua O. U P 1973 Hekima
13 Akwisomba B Jero si Kitu T.P.H, DSM 1972 Ujenzi wa jamii na maendeleo
14 Alli Hassan Njama Nazikumbuka Ndoto Jomokenyata Foundation Nairobi 2004 Umuhimu wa elimu katika jamii
15 Amina H.N Chuki ya Ndoa Benedictin Publication 1981 Unyanyasaji dhidi ya wanawake
16 Bairu. K. Atama Sokoni Kariakoo Tam tam Book Publication 2004 Matatizo ya mjini kwa wageni
17 Banzi Alex Titi la Mkwe T.P.H, DSM 1972 Mapenzi, imani za ushirikina na uchawi
( falsafa ya maisha ya mwafrika)
 Barisidya N.M Shida Foundation Nairobi 1975 Ujenzi wa jamii mpya
18 Buyu, John Mtu Geni longman 1971 Ujenzi wa jamii mpya
19 Chachage C. L Kivuli  BCI- Publishers 1981 Ugumu wa Maisha na Mapenzi
20 Chachage C. L Sudi ya Yohana DUP- DSM 1981 Ujenzi wa jamii mpya
21 Chachage C. L Almas za Bandia DUP- DSM 1991 Unyonyaji dhidi ya nchi changa
22 Charle M.L Adha ya Kimwi TMP Book Department 2001 Matatizo yatokanayo na ukimwi
23 Chiduo, M Mikononi mwa Maui EAP 1978 Maisha na Mwisho wake
24 Chime M. w. Gongo la Umma Black Star Agencies, DSM 1980 Hrakati za ukombozi za wandima dhidi ya wamboya
25 Chiume,M.K Mbutolwe Mwana wa Umma Longman 1973  Ujenzi wa Jamii Mpya
26 Chuma,K. Fadhiri msili wnaugua TPH- DSM 1971 Mvutano baina ya mila za kiislam tamaduni zingine
27 Eddie, Ganzel Faili Maalum Tamasha Publishers 1978 Upelelezi
28 Eddie, Ganzel Kitanzi Utamaduni Publishers 1984 Kisasi
29 Eddie, Ganzel Kijasho Chembamba Tamasha Publishers 1980 Ulinzi na Uhalifu
30 Farsy, M. S Kurwa na Doto EAPH 1978 Mila na Destri za Wakazi wa Zanzibar
31 Hambwe, J Maisha Kitendawili Jomo Kenyatta Foundation 2000 Ugumu wa Maisha. Anasa na Umuhimu wa kazi katika Maisha
32 Hammie, Rajabu Roho Mkpnpni Busara Publication
 1984 Upelelezi
33 Hunga,E Cha moyoni Mwako Kisetiri EALB 1974 Mapenzi Katika Ndoa
34 Isaya, P Nyumabni kwa Mchawi NMP 1961 Imani za jadi na Athari za Utamaduni
35 J. Kitsao Bibi Arusi OUP 1980 Mila na Desturi
36 Joachim, Gatahwa Mdundiko wa Maisha Benedictine Publication 1990 Migongano Katika Maisha
37 John, M. S Kivumbi Uwanjani Tras Afica 1978 Mapenzi
38 Kageuka, Frolika Mbio za Jasusi Upendo Publishers 1992 Ujasusi na Upelelezi
39 Kapombe, Y.N Usiku wa Mbalamwezi TPH- DSM 1979 Harakati za Ukombozi
40 Kasam, K. M Mpango International Publishers Agencies Ltd 1982 Harakati za Ukombozi
41 Katalambula, F. H Simu ya Kifo EALB 1965 Upelelezi
42 Katalambula. F. H Pili Pilipili EAP 1977 Tama na Mapenzi
43 Katalambula. F. H Buriani TPH- DSM 1972 Masaibu ya Maisha
44 Kayamba, Martine Tulivyoona na Tulivyofanyiwa na Uingereza EALB- Nairobi 1934 Uonevu na Unyanyasaji wa Kitaifa na Kitabaka
45 Kezilahabi, E. Rosa Mistia EALB 1971 Mgongano wa Mila na Athari za Malezi
46 Kezilahabi, E. Kichwa Maji EAPH 1974 Falsafa ya Maisha
47 Kezilahabi, E. Dunia Uwanja wa Fujo EAP- Arsha 1975 Falsafa ya Maisha
48 Kezilahabi, E. Gamba la Nyoka EAP 1979 Falsafa ya Maisha
49 Kezilahabi, E. Nagona Education Publication Centre 1987 Falsafa na Ukweli kuhusu Maisha
50 Kezilahabi, E. Mzingile  DUP 1996 Falsafa na Maisha
51 Kiango, S.D Jeraha la Moyo HEB 1974 Mapenzi na Maadili katika Jami
52 Kibao, S. A Matatu ya Thamani Heinemann Education Books 1975 Dhuruma, Ufukara na Utajiri
53 Kiimbila, J. K. Ubeberu Utashindwa TUKI-DSM 1971 Harakati ya Ukombozi katika Nchi ya Msubiji
54 Kiimbila, J. K. Lila na Fila OUP
 1967 Umuhimu wa umoja katika Jamii
55 Kimwaga, H. A. Je ni Kisasi? Associated Graphics Arts Publication 1982 Dhamana ya Mapenzi  na Ndoa
56 Kirumbi, S. P Nataka Iwe Siri TUKI-DSM 1974 Ukoloni
57 Kitereza, Anicet Bwana Myombokere na Bibi Bibi Bugonoka TPH- DSM 1980 Mila na Desturi, Mpaenzi na Unyumba
58 Komanya, Anthony Tabu TPH 1992 Matatizo katika maisha
59 Komba, S. M Pete  TUKI-DSM 1978 Dini na Mapenzi
60 Komba, S. M Mchakamchaka wa Maisha Peramiho Printing Press 1978 Harakati za Maisha na Umoja
61 Korieth, P.M Hadith ya Vita vya Majimaji EAPH 1971 Ukombozi
62 Korieth. P.M Kibuli bila ya Msalaba EAPH 1971 Ukombozi na Imani ya dini
63 Lema, E Mwendo Diamond Publishers 1980 Malezi
64 Lihamba, Amandina Wimbo wa Sokomoko TPH 1990 Malezi ya vijana na Uwajibikaji
65 Liwenga, G Nyota ya Huzuni TPH 1981 Mapenzi, unyanyasaji na Uwajibikaji
66 Liyoka, H. M Dunia Imeharibika Longman 1970 Uozo Duniani
67 Masoza,C.N Zaka la damu Dar-es-salaam Print Park 1972 Mapenduzi ya kweli Zanzibar
68 Mathius Mynapala Mlina asali na wenzake wawili EALB 1961 Maadili
69 Mathius mnyapala Kisa cha bahati na ndugu zake Ndanda mission press 1967 Maadili
70 Mben,I,C Ujamaa siuwezi  BSA 1975 Umuhimu wa ujamaa na umoja katika jamii
71 Mbogo.E Watoto wa mama ntilie HEKO PABLISHER 2002 Umasikini elimu nafasi ya mwanamke ktk jamii
72 Mbotela JAMES UHURU WA WATUMWA Sheldon press London 1934 Ukombozi na wema wa waingereza kwa watumwa
73 Mbwela,H,M Donda ndugu TPH-DSM 1973 Matatizo ya maisha
74 Mbwelwa,H,M Mtu aliyefufuka TPH-DSM 1972 Ushirikina
75 Mdoe,C Kilemba cha ukoka Kiuta-DSM 1984 Kejeri na dhihaka
76 Mfwangavo,D,S Zainabu ghorofani Ndanda mission  1971 Bidii katika kaz
77 Mhina,G Mtu ni utu TPH-DSM 1971 Unanyasaji na maadili
78 Mkabarah,J Maisha ya salum Abdallah Tuki DSM 1975 Historiya ya maisha ya salum Abdalah
79 Mkangi K,G Mafuta HEB 1984 Maovu na matabaka
80 Mkangi K,G Ukiwa TPH-DSM 1975 Rushwa na mapenzi
81 Mkangi,K,G Ukiwa TPH-DSM 1975 Rushwa na mapenzi
82 Mkufya,W,E Zirael nazirani Hekima publishers DSM 1999 Mgogoro wa dini
83 Mkufya,W.E Ua la furaha TPH 2004 Starehe na mapenzi
84 Mloka,C Mjini taabu Benedictine pablication 1985 Matabaka,Rushwa na unyanyasaji
85 Mlokozi, M. M Moto wa Mianzi ECOL- Publication 1996 Madhara yaVitaBarani Africa
86 Mlokozi, M. M Ngoma ya Mianzi TPH- DSM 1991 Uongozi, Mapenzi, siasa na Ndoa
87 Mlokozi, M. M Barua za Shaaban Robert TUKI-DSM 2000 Maonyo na Maadili
88 Mlokozi, M. M Ngome ya Mianzi
89 Mohamed, S. Mohamed Nyota ya Rehema UOP 1978 Uongozi Mbaya, Uwazi na Ukweli
90 Mohamed, S. Mohamed Kicheko cha Ushindi Shungwaya Publishers Ltd 1978 Matabaka na Utamaduni
91 Mohamed, S. Mohamed Kiu EAPH- Nairobi 1972 Mirathi, Mapenzi na Unyumba
92 Mohamed, S. Mohamed Utengano Longman- Nairobi 1980 Mvutano baina ya Nguvu za Kiasili na Jamii
93 Mohamed, S. Mohamed Dunia Mti Mkavu Longman-Nairobi 1980 Mvutano baina ya Nguvu za Kiasili na Jamii
94 Mohamed, S. Mohamed Kina cha Maisha Longman 1984 Falsafa ya Maisha
95 Mohamed, S. Mohamed Kiza katika Nuru OUP- Nairobi 1988 Mapambano ya Mila na Itikadi za Kijamii
96 Mohamed, S. Mohamed Tata za Asumini Longman 1990 Ukiukwaji wa Haki za Binadamu, Fikra na Hisia
97 Mohamed, S. Mohamed Babu Alipofufuka J.K Foundation 2001 Utawala wa Kilimwengu na Athari za Maendeleo
98 Mohamed, S. Mohamed Asali Chungu Shungwaya Publishers 1978 Mapenzi
99 Mohammed,M,S Mchomo wa kisu EAP 1970 Kiu ya maisha na kero ktk jamii
100 Mohammed,M.S Kulwa na Doto EAPH 1960 Thamani ya utamaduni ktk jamii mila na desturi
101 Mommed.M.S Mbojo simba mtoto EALB 1977 Upelelezi wa simba mla watu
102 Msewa.O Kifo cha ugenini TPH 1977 Mauaji
103 Msokile, M. Usiku utapokeisha Popular publication Ltd 1990 Maisha na mzunguko wake,Dhulma athari yake
104 Msokile, M. Nitakuja kwa siri DUP 1981 Mapenzi
105 Msokile, M. Dhani ya ukubwa DUP 1979 Mapambano yakitabaka
106 Msokile, M. Dhihaka ya mume Meza pablication 1992 Unjanjasaji Dhidi Ya Wanawake
107 Mtendamema,G.W Utotole LOGMAN 1974 Imani za uchawi na kutunza tunu za maisha
108 Mtobwa, B. R. Tutarudi na roho zetu Heko purblishers DSM 1987 Upelelezi na dhuluma
109 Mtobwa, B. R. Dimbwi la damu APT 1984 Mauaji na uharifu
110 Mtobwa, B. R. Harakati za Joram nyuma ya pazia Heko publishers 2004 Mauaji na upelelezi
111 Mtobwa, B. R. Pesa zako zinanuka 2005 Unafiki na ukatili
112 Mtobwa, B. R. Dar es salaam usiku (Malaika,Shetani) 2004 Uvumilivu
113 Mung’ong’o, C Mirathi ya hatari Education publishers and distribution 1977 Ushirikiano mila na desturi
114 Mung’ong’o, C Njozi iliyopotea TPH 1980 Usawa wa binadam dhulma na unjanjasaji
115 Musiba, A. E Njama Pupular publication Ltd 1989 Uharifu na upelelezi
116 Musiba, A. E. Zawadi ya ushindi 1987 Ukombozi na mapenzi
117 Musiba, A. E. Hofu Popular publication Lltd 1997 Ukombozi na upelelezi
118 Musiba, A. E. Kikosi cha kisasa Popular publication Ltd 1989 Uharifu na upelelezi
119 Mvungi, M lwidiko TPH-DSM 1976 Uwajibikaji Haki na mapenzi
120 Mvungi, T Hana hatia 1975 Maadili na Haki
121 Mwakyembe,H Pepo ya mabwege DUP 1974 Uchumi na nafasi ya mwanamke ktk jamii
122 Mwanga, Z. Kiu ya Haki DUP 199 Haki ukweli na ukombozi
123 Mwanga, Z. Hiba ya Wivu OUP 1974 Fina na athari za wivu ktk maisha
124 Singija D. Pendo la kifo TPH 1972 Kutoaminiana,imani za uchawi na ushirikina
125 Senkoro ,F,E Adila Benedictine publication 2002 UJENZI WA JAMII MPYA MAADILI MAPENZI NA ELIMU
126 Senkoro ,F,E Mzalendo Shinywaya publisher Nairobi 1977 Harakati na mbinu za ukombozi
127 Semela Fedelis Maisha ya nuksi Longman 1976 Pupa ya mafanikio kwa vijana na ugumu wa maisha

128 Shija SF BALAA LA USHANGINGI Ndanda misision press 1992 Ansa za mapenzi
129 Omolo L.O UHARIFU HAULIPI LONGMAN 1971 MAUAJI
130 Omolo L.O MTAKA YOTE KWA PUPA HUKOSA YOTE LONGMAN 1973 TAMAA YA MALI NA ATHARI ZAKE
131 Omolo L.O MUELEVU HAJINYOI HEKIMA PUBLISHERS 1971 ULEVI MWINGI HAUFAI
132 RUHUMBIKA,G Milad bubu ya wazalendo TPH 1992 HUJUMA NA UONGOZI WENYE URASIMU
133 ROBERT.S Kusadikika Nelson NAIROBI 1951 ELIMU NA UONGOZI MBAYA
134 ROBERT.S Adili na nduguze Macmillan 1952 UADILIFU WIVU NA TAMAA
135 ROBERT.S Maisha yangu na baada miaka hamsini Nelson NAIROBI 1966 MAISHA NA MAPENZI
136 ROBERT.S Siku ya watenzi wote NELSON NAIROBI 1968 UKOMBOZI
137 ROBERT.S Utu bora mkulima NELSON NAIROBI
 1968 UMUHIMU WA KILIMO
138 ROBERT.S Wasifu wa siti bint9Saad NELSON NAIROBI 1965 MALEZI UVUMILIVU UJASILI NA ELIMU
139 ROBERT.S Maisha mapya HIDARA YA UCHAPAJI RADUGA MASCOW  1987 MAWAIDHA NA MAONYO MBALIMBALI
140 ROBERT.S Kufikirika MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS DSM 1991 HABARI YA ,MAISHA YA KIBWENYENYE NA KIFALME,JUHUDI ZA UKOMBOZI
141 RUTAYISIGWA,J, NGUMI UKUTANI LONGMAN 1979 MAPENZI,MALEZI NA FAIDA ZA UVUMILIVU NA SUBIRA KTK MAISHA
142 RASHID,H. ROHO MKONONI BUSARA PUBLICATION 1984 UONGOZI MBAYA,UJASIRI NA UWAJIBIKAJI
143 SAYARI ,A.J HARUSI DUP 1993 UKALE NA USASA MAPENZI NA NDOA
144 SAID. S UKOMBOZI EAST AFRICAN PUBLICATION 1979 MAPAMBANO
145 SEHZA M MWAKA KTK MINYORORO 1921 DHULMA NA UONGOZI
146 SEME,W NJOZI ZA USIKU LONGMAN 1973 UKASUKU
147 SALEHE S DIRA OUP 1976 HAKI NA USAWA
148 SHAFII ADAM,S KULI TPH 1979 UNYONYAJI N DHULMA YA UKOLONI TANZANIA
149 MHIMBALI RENATUS VISA VYA YATIMA CHIBIBI HEKO PUBLISHERS 2003 HEKIMA.UJASIRI.NA VIPAJI VYA WATOTO VILIVYOFICHIKA
150 MNYAKA ONGE KIMBIA”  HELENA KIMBIA HEKO PUBLISHERS 2005 MATATIZO YA VITA VYO WENYEWE KWA WENYEWE AFRIKA YA KATI
151 MUSHI,J,S BAADA YA DHIKI FARAJA TPH UDSM 1969 HARAKATI ZA KUONMDOA MATABAKA UKOMBOZI
152 MUSHI,J,S TUHUMA ZA UCHAWI BPNP 1986 IMANI POTOFU

153 NGOMOI.J NDOTO YA NDALIA TPH 1976 UJENZI WA JAMII MPYA
154 NKWELA ,F MAZISHI YA BABA ANARADHI EALB 1967 MILA NA DESTURI
155 NURU,M.S NDOA YA MZIMU EALB 1974 USHIRIKINA
156
157 NG’AMBO.A.H CHUKI YA NDOA BENEDICTINE PUBLIUCATION 1981 UGANDAMIZAJI NA MAPENZI
158 NDIMBALE,CHARLES FIMBO YA ULIMWENGU HED 1974 MATATIZO KTK JAMII NA UJASIRI

159 NYASURU GODFREY LANA YA PANDU ELB 1974 MAADILI
160 NCHIMBI BR MAPENZI YA DAWA TPH 1974 MAPENZI YA KWELI NA YADAWA
161 NSHIKU,T FIMBO YA MNYONGE TPH 1978 MIVUTANO YA KITABAKA BAINA YA MATABAKA YA WATAWALIWA NA WATAWALA
161
162 SHAFI ADAM SHAFI KASRI YA MWINYI FUNDI TPH 1`978 Unyonyaji na  Mapinduzi
163 SHAFI ADM,S. VUTAN’KUVUTE MKUKI NA NYOTA PUBLISHERS 1999 Ukombozi wa Kisiasa Kiutamaduni na Dhana potofu.
164 ERICK,J.SHIGONGO RAIS ANAMPENDA MKE WANGU GLOBA PUBLISHRES AND GENERAL ENTERPRESES LTD 2003 Mapenzi na Kisasi
165 ERICK,J.SHIGONGO SILI ILIYOTESA MOYO WNGU GLOBA PUBLISHRES AND GENERAL ENTERPRESES LTD 2003 Usaliti katika Mapenzi,Uhalifu,Ukatili na Upelelezi
166 SEMZABA,E FUNGE BUGEBUGE DUP 1999 Athari za Umri ktika Maisha
167 SIMBAMWENE,J,M KWA SABABU YAKO LONGMAN 1972 Ubadhilifu wa Mali za Umma
168 SIMBAMWENE,J,M KIVUMBI UWANJANI TRANS AFRICA 1978 Mapenzi
169 SIMBAMWENE,J,M RISASI YA MWISHO JOMMOSI 1981 Upelelezi
170 SIMBAMWENE,J,M KWELI UNANIPENDA? TRANS AFRICA 1978 Mapenzi n Ndoa
171 SIMBAMWENE,J,M KWA SABABU YA PESA LONGMAN 1972 Tamaa ya Pesa,Uhalifu na Ujambazi
172 SIMBAMWENE,J,M MAPENZI YA PESA NMP 1976 Mapenzi ya Fedha Hayafai
173 SOMBA.J,N KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI EAPH 1973 Utii Maadili mema Hekima na Malezi bora
174 SOMBA.J,N ALIPAND UPEPO AKAVUNA TUFANI Kiuta Ltd 1969 Usaliti katika maisha
175 SANGIJA ,D BADO MMOJA NDANDA MISSION PRESS 1975 UPELEZI DHULMA NA MAUAJI
176 THONYA,L.M ULIMWENGU WA NDOTO BSA 1978 HISTORIYA YA ,MAISHA YA MWANADAMU ULIMWENGUNI
177 TUNGANEA,W.X …ZA UMMA TAMU LAKINI TANZANI BOOK SELLERS COMPANY LTD 1984 HUJUMA DHIDI YA RASILIMALI ZA UMMA ZIFANYWAZO NA VIONGOZI
 WHITELEY,W MAISHA YA HEMED BIN MOHAMMED EL MUJEBI YAANI(GIPPUTIPP) EALB 1975 MAISHA Y TIPP TIPP NA BIASHARA YA UTUMWA NA PEMBE ZA NDOVU TANZANIA-CONGO

Share.

About Author

Leave A Reply