Wednesday, August 21

DKT. JOHN KIANGO, TUKI, juu ya UUNDAJI WA KAMUSI SANIFU, 1995

0Mahojiano haya yanakhusu uundaji wa kamusi, hususan Kamusi Sanifu ya Kiswahili. Dkt. Kiango pia anaongelea harakati mbalimbali za TUKI ikiwa ni pamoja na shughuli kadhaa za kitengo cha leksikografia huko Taasisini. SHUKRANI KWA PROFESA JOHN MTEMBEZI KWA KUFANIKISHA KUPATIKANA KWA MAUDHUI HAYA.

Share.

About Author

Leave A Reply