Saturday, August 17

Nimeshiriki Mkutano Na Viongozi Wa Elimu Dodoma

0


Image may contain: 2 people, people sitting and indoor

Pichani ni Naibu Katibu Mkuu, Elimu, Sayansi Na Teknolojia, Dr. Ave Maria Semakafu na Kamishna wa Elimu Dr. Shirima.

Leo asubuhi kwenye ukumbi wa Wizara Dodoma, Dr. Semakafu aliendesha kikao cha kazi cha saa tatu kilichowajumuisha wajumbe 18 kutoka Idara mbalimbali za wizara zenye kuhusika kwa namna moja au nyingine na programu za Vyuo Vya Maendeleo ya Wamnanchi ( FDCs).
Karibu Tanzania Organization tulishiriki kama wadau muhimu kwenye kufanikisha utekelezaji wa programu za Wizara kuhusu FDCs.

Maggid.Read More

Share.

Comments are closed.