Thursday, August 22

John Kesho Kutinga Mahakama Kuu London Kwenye Kesi Ya Majaribio…!

0


Image may contain: 2 people, including Laltaika Eliamani Laltaika, people standing

Ndugu zangu, 

Kijana wetu John na mwanafunzi mwenzake wa sheria kesho Jumatano atatinga Mahakama Kuu, London kushiriki fainali ya shindano la kesi ya majaribio ( Property Law) kama sehemu ya masomo yake ambapo John atakuwa Lead Respondent na mwenzake aliye mwaka wa nne atakuwa Junior Respondent.
Jaji atakuwa wa Mahakama Kuu, Lord Carnwath. Wanakwenda kupambana na wenzao wawili waliotinga fainali pia. John na mwenzake wakiibuka washindi wana pauni mia mbili za kugawana.

Kila La Heri John!

PS: Pichani Jihn akiwa na Mwanasheria Msomi, Elifuraha Isaya Laltaika.Read More

Share.

Comments are closed.