Thursday, August 22

Gangilonga Kwenye Ubora Wake…

0


Image may contain: house, tree, sky, plant, outdoor and nature

 

 

Image may contain: mountain, sky, grass, outdoor and nature

 

Ni zaidi ya Oysterbay ya Dar. Oysterbay ilikuwa ya zamani, hii ya sasa ya maghorofa na mabaa kila kona imepoteza mvuto. Maghorofa ya Gangilonga ni miti na milima. Gangilonga haina maghorofa. Kimsingi Mji wa Iringa unapendeza kwa kuwa na miti mingi na milima. Ni msafi sana pia, bila shaka ni wa kwanza Tanzania. Picha hiyo niliipiga jana.

Maggid.

 

 Read More

Share.

Comments are closed.