Wednesday, July 17

PICHA ZA DADA DINA CARE’S FOUNDATION WAKITEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA VETERANI

0


Mwisho wa wiki hii kikundi cha Dina Care’s tulitembelea kituo cha watoto yatima cha Veterani kilichopo Temeke na kushinda pia kupata nao chakula cha mchana.

Watoto wa kituo cha Vetenari wakisaidiana kupokea mizigo iliyoletwa na Dada Dina Cares Foundation

Kituo cha Vetenati
Shughuri za kuanda chakula zikiendelea

Picha ya pamoja ya Dada Dina Care’s Foundation na Watoto wa kituo cha Vetenari 

Chakula kiko tayari na kinapakuliwa

Dada Dina akijianda kusali na watoto wa kituo cha VetenariRead More

Share.

About Author

Leave A Reply