Wednesday, July 17

HIVI NDIVYO WATANZANIA WALIVYOMPOKEA DIAMOND KUTOKA AFRIKA KUSINI

0


        Baada ya Mwisho wa wiki iliyopita mwanamuziki mashuhuri anaeibebea sifa kubwa ya kimataifa nchi yetu Diamond Plutnumz kujinyakulia tuzo tatu katika tuzo za Channel O zilizofanyika Africa kusini,leo amerudi nchini na kutua uwanja wa ndege  wa JK Nyerere saa nane mchana  na kupokelewa na umati mkubwa wa mashabiki wake.

          Baada ya kutua Diamond akiwa njiani kuelekea Escape 1 kwenye mkutano na waandishi wa habari alisindikizwa na Mashabiki wake na kupitia Buguruni,Kariakoo.Hizi ni baadhi ya Picha ilivyokua
.

Baada ya kuzunguka toka Uwanja wa ndege mpaka kariakoo msafara ulielekea Escape 1 ambapo Diamond akienda kufanya mkutano na waandishi wa Habari.
Diamond akiwa sambamba na Meneja wake Bau Tale
Tuzo tatu alizochukua Diamond

Meneja mwingine wa Diamond Mkubwa Fela 

Meneja Babu Tale 
Baadhi  ya mashabiki wa Diamond wakisikiliza kwa makini

Mwakilishi kutoka DSTV akiongea yake

Watu wanashangilia “TemboTemboTembo”

Picha na Octavian FrancisRead More

Share.

About Author

Leave A Reply