Thursday, August 22

Video-Magoli ya Samatta na Kichuya vs DR Congo Machi 27, 2018

0


Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeshuka dimbani leo Jumanne Machi 27, 2018 kucheza mchezo wa pili wa kirafiki kwa mujibu wa kalenda ya Fifa, Stars ilikuwa ikicheza dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ‘wazee wa ndombolo’ mchezo ambao umemalizika kwa Tanzania kuibuka na ushindi wa magoli 2-0.

Magoli ya Taifa Stars yamefungwa na Mbwana Samatta dakika ya 74 na Shiza Kichuya dakika ya 85.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.