Friday, April 19

“Tumezoea kuiona Simba kama Barcelona”-Abdu Kiba

0

“Tumezoea kuiona Simba inacheza kama Barcelona…”-@officialabdukibaa akizunguza wakati wa mapumziko wakati huo Simba ilikuwa inaongoza 1-0 dhidi ya JS Saoura.

Full interview ya uchambuzi wa Abdu Kiba tayari ipo #YouTube kupitia #DaudaTV

Comments

comments

Share.

About Author

Leave A Reply