Monday, March 18

Kabwili anahatarisha nafasi ya Kakolanya Yanga

0

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema golikipa Ramadhani Kabwili ataendelea kuanza katika kikosi cha kwanza kwa sababu katika mechi tatu za ligi alicheza hivi karibuni hakuna kosa alilofanya.

“Kabwili amecheza mechi tatu hajafanya kosa lolote kwa sababu gani tumuanzishe Kindoki kwenye mechi ya dhidi ya Biashara”-Mwinyi Zahera.

Kwa hiyo ndio kusema Kabwini ni No 1 Yanga kwa sasa?

Comments

comments

Share.

About Author

Leave A Reply