Tuesday, March 19

“Ali Kiba amemaliza kutafuna karanga, anapiga mruzi”-Mgunda

0

Kocha wa Coastal Union Juma Mgunda amesema Ali Kiba ana program maalumu ambayo kama ataitekeleza vizuri anaweza kuingia hadi kwenye kikosi cha kwanza.

“Watu wanapiga kelele Ali Kiba hachezi, nawajibu kiufundi lakini hawasemi hivyo. Ali sasa hivi sasa hivi anavyofanya mazoezi atacheza lakini siwezi kumpanga mtu kwa sababu yeye ni fulani.”

“Alikuwa na shughuli zake ambazo zinajulikana hata klabu inajua kwamba sasa hivi Ali anapilika gani, sasa hivi zimekwisha anaonekana. Kamaliza kutafuna karanga sasa anapiga mruzi.”

Comments

comments

Share.

About Author

Leave A Reply