Monday, August 19

ELIMU YETU IJIKITE KATIKA MAADILI- PROF RAYMOND MOSHA

0


 Mgeni rasmi wa Kongamano la Elimu, Prof. Raymond Mosha.


 Prof. Raymond Mosha ambaye alikuwa Mgeni rasmi wa Kongamano la Elimu akiwa na Mwanzilishi wa Elimu Afrika.
Prof. Mosha katika mazungumzo yake alisisitiza elimu iweke kipaumbele maadili na uadilifu kwenye Elimu yetu kwa kuenzi mazuri yaliyo kwenye mila na desturi za kiafrika.

 Prof. Raymond Mosha katika picha na Bi. Linda Malisa Afisa wa Elimu Maalum,Elimu Afrika.

Mwalimu Daniel Urioh  akiwa na Vijana wa Elimu Afrika, Boniface Kaaya na Haruni Sebastian

Timu Elimu Afrika Read More

Share.

About Author

Comments are closed.