Thursday, August 22

Prodyuza Zest, Mr. LG na Sniper waisimika ‘Jini Kisirani’ ya Amber Lulu

0


Mwimbaji, hitmaker wa ngoma ‘Watakoma’ na video Vixen kutoka Swesekwa Production, Lulu Mkongwa ‘Amber Lulu’ ameweka sokoni video ya kazi yake mpya ‘Jini Kisirani’ iliyotayarishwa na Prodyuza Zest wa Moja Moja Records.

Wimbo huo ambao ni wa kwanza kutoka kwake kwa mwaka 2018 ambao mashairi yake yameandikwa na Mr. LG, ambapo audio yake ilitoka rasmi mwezi mmoja uliopita na video imetoka wiki hii ikiwa imeongozwa na Directed by Sniper.

Hata hivyo kwa mwendo huu inaaminika kuwa alichosema Amber Lulu kuwa ataweka nguvu katika muziki wake kwa kuachia kazi moja baada nyingine. Kwa mtiririko wake imeonekana kuwa kasi yake imeongezeka kwani amekuwa ni wa kuachia kazi kila baada ya miezi mitatu.

Itazame hapa video ya wimbo huoRead More

Share.

About Author

Comments are closed.