Monday, August 19

Nisha na Brown wapeperusha upendo wazi wazi

0


Staa wa Filamu kutoka Tanzania, Nisha Bebe ameonesha dalili za kuianza safari kwa mashua ya huba na kijana mwanamazoezi na mwanamitindo kutoka Tanzania, Brown.

Kupitia kurasa za Instagram za wote wawili ziliaza kulindima picha na video zenye jumbe za wazi na zenye mbawa za upendo kati hao hata Nisha kuonesha kuwa kwa sasa ni mwenye furaha zaidi baada ya kukaa kwa kipindi akiwa Single.

naogopa B 😭 #BACHELA

A post shared by @ nishabebee on Mar 22, 2018 at 12:21pm PDT

Mtoto mzuri unakuaje Bachela…. U gotta ah Soldier by your side now.

A post shared by L i f e s t y l e (@official_brown_) on Mar 22, 2018 at 10:45am PDT

I got ur back Beib.

A post shared by L i f e s t y l e (@official_brown_) on Mar 22, 2018 at 1:28pm PDT

Kikubwa ambacho kimeonekana kuwa sambamba na jumbe zao ni alama ya kiashiria na utambulisho wa neno #Bachelor hali ambayo imewafanya baadhi wahisi kuwa sio bure bali lipo jambo lililosimama kwa miguu miwili nyuma ya neno hilo.

Nisha ni mwenye historia ya kimahaba na msanii wa muziki wa Bongo Fleva ‘Barakah The Prince’ na Nay wa Mitego ambapo Brown alishaishi katika mhusiano yaliyodumu kwa muda kiezi kadhaa na muigizaji kutoka Bongo Movie, Jackline Wolper.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.