Saturday, August 17

Kutana na Jibu la Director Hanscana juu ya kupima UKIMWI

0


Muongozaji maarufu wa video za muziki kutoka Tanzania, Hans Richard ‘Hanscana’ amejibu swali lililolenga hali yake ya Kiafya na upimaji wa virusi vya Ukimwi.

Bila kukwepa kwepa Kupitia mtandao wa Instagram Hanscana baada ya kuwapa uhuru mashabiki kumuuliza maswali, amemjibu kujana anayetumia jina la @tiba_gangstar_tz juu ya yeye kupima virusi vya ukimwa kwa mwaka huu.

Swali: @tiba_gangstar_tz: tangu huu mwak uingie ushapima ukimwi?, na Hascana alijibu kwa kuandika “Jana tu”.

Hata hivyo imekuwa ni ngumu kwa watu maarufu hata watu wasio na umaarufu kujibu au kuweka wazi juu ya utaratibu wa wao kupima virusi vya UKIMWI ingawa haikubainika kwa Director Hascana baada vipimo majibu yalisema nini.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.