Monday, August 19

Big Sean anatimiza 30 na Katika ngoma yake yake kubwa tunaimulika ‘Habari Ndo hiy’ ya FA na AY

0


Msanii wa muziki wa Rap kutoka Nchini Marekani, Sean Michael Leonard Anderson a.k.a Big Sean leo anatimiza umri wa miaka 30 na kinachozungumziwa hapa katika siku ya hii ni ushirikiano wa mastaa na watu wenye mchango na mvuto katika maisha ya kila siku kuweka mbele kipamubele suala la ushirikiano ndani na nje ya baishara ya burudani husika au huduma husika.

Zaidi ya miaka 10 iliyopita nchini Tanzania katika muziki wa Bongo Fleva ilifanyika kolabo ya wimbo kati ya Mwana FA na Ambwene Yessaya ‘AY’ kwa jina ‘Habari ndo hiyo’ na katika video ya wimbo huu ulioongozwa na Director Adam Juma, walionekana wasanii wengi waliokuwa na majina kipindi hicho na mpaka sasa bado majina hayo yapo katika mtiririko wa mastaa wanaofanya vizuri katika tasnia ya Burudani kwa ujumla.

Miongoni mwa mastaa waliokuwepo katika video ya wimbo wa ‘Habari ndo hiyo’ ni pamoja na Mr. Blu, Prodyuza Lamar, Babu Tale, Ali Kiba, Chid Benz, Dunga, Pingu na Denso, na wengine walioonekana katika video ya wimbo huo kwa nia njema ya kutoa support kwa wasanii hao na Tasnia nzima kwa ujumla.

Video ya ya Ngoma ya Big Sean  ‘I Dont F*ck With You’ nayo imebeba sura za watu maarufu na wenye ajina makubwa sana Duniani Ambao kwa uchache tu ni Rapa Kanye West na Mtangazaji mkubwa na maarufu sana nchini Marekani ‘Big Boy’ anaonekana kufuata Csript ya Director wa video hiyo kwakuwa naanza kwa Tangazo.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.