Wednesday, August 21

Babu Seya na Papii Kocha wakutana na ‘Aby Dad’ kikazi

0


Mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzani, Aby Dad amekutana na Familia maarufu ya muziki wa Dansi, Mzee Nguza Viking ‘Babu Seya na Mwane wa Tatu Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ na kudai kuwa umekuwa mazungumzo yenye matunda kwake.

Mtayarishaji huyo Ametoa taarifa kuwa atarejea kwa taarifa nyingine zaidi na picha yao hiyo imewaonesha kuwa walikutana katika Studio ya Square Music.

Bila shaka wawili hawa wamekutana kwa lengo la kimuziki kwakuwa kila wanapokutana wasanii na watayarishaji hasa Studio, mategemeo ulenga katika kufanya kazi ya pamoja na kwa asilimia kubwa mashabiki uanza kusubiri kazi kutoka kwa umoja wa waliokutan.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.