Saturday, August 24

360 news

0


Naibu waziri wa afya,maendeleo ya jamii jinsia,wazee na watoto Dk Faustine Ndugulile mapema february 19 alizindua baraza la watoto mkoani Shinyanga na kukabidhi ofisi na kompyuta kwaajili ya baraza hilo.

Baraza hilo lenye wajumbe 12 akiwemo Mwenyekiti,makamu mwenyekiti,Katibu, Mweka hazina na wajumbe 6 mmoja kutoka kila Halmashauri na watoto wawili wanao wakilisha watoto wenye ulemavu.
Dk.Ndugulile alipongeza uongozi wa mkoa wa Shinyanga na kuwaomba kuendelea kulea baraza hilo na kuisihi mikoa mingine kuiga mfano huo.Read More

Share.

About Author

Comments are closed.