Saturday, August 17

MSAJILI MUTUNGI ASIITISHE CHADEMA, AJITAFAKARI

0Na Tundu Antipas Lissu MSAJILI MUTUNGI ASIITISHE CHADEMA, AJITAFAKARI Nimesoma barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, yenye tuhuma na vitisho vingi dhidi ya CHADEMA. Bila kutoa ushahidi wowote na kwa kutegemea taarifa za upande mmoja tu, Msajili Mutungi ameituhumu CHADEMA kwa kufanya siasa za kibabe na vurugu na kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa na Kanuni za MaadiliRead More

Share.

About Author

Comments are closed.