Thursday, August 22

Idris Sultan amtaka Diamond atembee kwa magoti hadi Afrika Kusini

0Kupitia ukurasa wa instagram wa Idris Sultan leo February 16,2018 ameandika caption ambayo inamtaka Diamond atembee kwa magoti hadi Afrika Kusini hii ni baada ya kunukuu maneno ambayo Diamond Platnumz aliyasema kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm Hii ni baada ya Zari kutangaza rasmi kuachana na Diamond Platnumz kupitia instagram account yake siku […]Read More

Share.

About Author

Comments are closed.